Search

Habari Motomoto

Employment:PSI Tanzania

JOB TITLE: Assistant Programs Manager-Logistics RESPONSIBLE TO: Logistics Manager Job Purpose: Support implementation of malarial and child health activities with focus on the distribution of LLINs. The candidate will work closely with Logistics Manager- ANC/EPI and Zonal coordinators, to ensure... Continue Reading →

Advertisements

Cocacola graduate in training (GIT) program-Dar es Salaam

Coca-Cola Kwanza limited, a member of Coca-Cola Beverage Africa, a multinational company deqling in fast moving consumer products strives to maintain world class standards in every aspect of our business. In addition, we are also committed to train and develop... Continue Reading →

Cocacola graduate in training (GIT) program-Mbeya

Coca-Cola Kwanza limited, a member of Coca-Cola Beverage Africa, a multinational company deqling in fast moving consumer products strives to maintain world class standards in every aspect of our business. In addition, we are also committed to train and develop... Continue Reading →

Employment: Project job at Njombe region

Organisation: Initiatives Inc. Strengthening Program Job Announcement: Community Health Program Coordinator Location: Njombe Region Background The Community Health and Social Welfare Systems Strengthening Program (CHSSP) is a five year PEPFAR/USAID-funded cooperative agreement led by JSI Research & Training Institute, Inc.... Continue Reading →

Employment: At JR institute of information technology

TUTORS FOR BUSINESS STUDIES POSITION VACANCY AT JR Institute Of Information Technology. ARUSHA – TANZANIA Qualifications Bachelor degree majoring in Business Administration with a minimum of 3.5 GPA and above Experience Not less than one year working experience in teaching... Continue Reading →

Diamond Platnumz yupo juu Zaidi ya Alikiba

Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki na hasa muziki wa dansi ingawa nyimbo nyingi sizijui. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwasikiliza Washirika Tanzania stars na mpaka sasa nikisikia nyimbo yao yoyote natulia kwa makini kusikiliza. Hiyo ilikuwa bendi pendwa kwangu... Continue Reading →

Kuhusu bifu kati ya Harmonize na Raymond, Meneja wao kaongea haya.

Meneja anayewasimamia wasanii wa WCB wakiwemo Harmonize na Raymond, Ricardo Momo, amekanusha tetesi kuwa mafahari hao wamekuwa wakivimbiana na kwamba kila mmoja anajiona bora. Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM ya Njombe, Prince Ramalove, Ricardo... Continue Reading →

Kimenuka nyumbani kwa diamond platnumz

First Lady wa Madale, Zari The Bosslady ametupa tena jiwe gizani. Awamu hii ni kwa mwanamke ‘fumbo’ ambaye anadai aliacha heleni zake katika chumba chake – hajasema ni kipi lakini ni wazi ni chumba cha Diamond, Madale kwakuwa yupo mjini.... Continue Reading →

Askari JWTZ kizimbani kwa mauaji.

ASKARI tisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamefikishwa mahakamani wakituhumiwa kwa mauaji ya mkazi mmoja wa Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora. Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Samson Kabigi, alisoma mashtaka dhidi ya watuhumiwa hao mbele ya Hakimu... Continue Reading →

Blog at WordPress.com.

Up ↑

%d bloggers like this: