victor-wanyama-spurs_3489343

Taifa la Tanzania bado lipo katika majonzi na masikitiko makubwa, kufuatia maafa ya tetemeko la ardhi yaliotokea Bukoba mkoani Kagera, baadhi ya wafanyabiashara makampuni na taasisi tofauti tofauti zimeoneshwa kuguswa kwao kutokana na tetemeko hilo lililogharimu uhai wa baadhi ya watanzania

Advertisements