Search

Habari Motomoto

Employment: GROUP TRAINIG AND DEVELOPMENT MANAGER

GROUP TRAINIG AND DEVELOPMENT MANAGER WARRIOR SECURITY JOB PURPOSE To plan and deliver security training with the international of improving current system and procedure through the group and produce the highest quality of products and service within our field of... Continue Reading →

Advertisements

Employment:UNICEF

WASH SPECIALIST,GENDER AND DEVELOPMENT SPECIALIST,HIV/AIDS SPECIALIST, HEALTH SPECIALIST,HUMAN RESOURCE ASSISTANT,DRIVERS BUDGET OFFICER, PLANNING SPECIALIST, EDUCATION SPECIALIST HEALTH SPECIALIST – VOLUNTARY MALE MEDICAL CIRCUMSION PROGRAMME If your committed creative professional and are passionate about making a lasting different for the children... Continue Reading →

Employment: Halotel Ltd

Position: Distributions Officer X 2 Dept: Distribution Department Managed by : Head of Distributions Department Field: Business Major: BBA,ACCOUNTS OR STATISTICS II. JOB DESCRIPTION AND GUIDELINES 1) Responsible for the progress and quality of the job. 2) Ensure categories and... Continue Reading →

Xhaka bingwa wa magoli ya mbali Arsenal

Baada ya kuona mechi mbili ambazo Granit Xhaka amecheza na kuonesha umahiri wake wa kufunga magoli ya mbali kwa mashuti makali ambayo tulikosa kuyaona ligi kuu England tangu Gerrard na Lampard waondoke katika ligi hiyo. Xhaka anaonekana anaweza kufanya kitu... Continue Reading →

Mahakamani kwa kulidhalilisha jeshi la polisi

Mfanyabiashara Christon Mbalamula, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kulidhalilisha Jeshi la Polisi kwa kudai anatangaza ndoa na askari watakaomhudumia kama mume, huku akihoji kama wameshanunua mafuta ya kilainishi maarufu KY. Mshtakiwa huyo alifikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana... Continue Reading →

Jinsi Watanzania wanavyomsema Paul Pogba

Hakuna kitu kizuri kama michezo atakwambia nani kuna starehe nzuri duniani kama hii ya kuona wanamume wakitoana jasho uwanjani haswa wakiwa na udamwbi dambwi pale katikati ya uwanja, raha sana angalia Barcelona ama Arsenal ukitaka mpira wa namna hiyo utasuuzika... Continue Reading →

Yaya toure astaafu rasmi kuitumikia timu yake ya taifa

Kiungo wa Manchester City Yaya Toure mwenye miaka 33, ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa. Toure aliichezea timu yake ya taifa kwa mara ya kwanza mwaka 2004, na baada ya miaka 10 yaani mwaka 2014 alikabidhiwa unahodha kutoka kwa Didier... Continue Reading →

Employment: International Rescue Committee (IRC)

BACKGROUND: The International Rescue Committee (IRC) is an international NGO that coordinates the provision of services across a broad spectrum of sectors in Kigoma Region, Tanzania. This position will support the IRC’s work providing services to women and girls in... Continue Reading →

Employment: At Stanbic Bank

OFFICER- REGULATORY REPORTING & TAX POSITION DESCRIPTION: Job Details Group Finance: budgeting and forecasting, creating interim and annual financial statements, facilitating internal mergers and acquisitions, as well as dealing with analysts and investors. Job Purpose To support the Manager, Regulatory... Continue Reading →

Create a free website or blog at WordPress.com.

Up ↑

%d bloggers like this: